![]() |
THE EDEN HARVEST CHURCH | ![]() |
![]() |
KAMATI YA MAOMBI YA TOBA YA TAIFA LA TANZANIA MAOMBI YA TOBA YA TAIFA LA TANZANIA 1.Waombaji kujitakasa Neno la msingi kwamaba kahuna dhambi twajidanganaya wenyewe wala wala kwel haimo ndani yetu Tukiziungama dhambi zetu yeye ni mwaminifu na wala haki hata atuondolee dhambi zetu na kutusafisha na udhaimu wote.tukisema kwamaba hatukutenda dhambi twafanya yeye kuwa mwongo wala neon lake halimo mwetu.1 walaka wa yohana 1:18-10 Na kama mtu akitenda dhambi tunae muombezi kwa baba ,yesu kristo mwenye haki na ndie kipatanisho kwa dhambi wala si kwa dhambi zetu bali kwa dhambi za ulimwengu 22.Maombi ya Toba ya kanisa. Neno la msingi: Ikiwa watu wangu walioitwa kwa kina langu watajinyenyekeza nakuomba na kuuutafuta uso wangu na kuziacha njia zao mbaya ; basi nitasikia toka mbinguni na kuwasamehe dhambi yao na kuiponya nchi yao.2 nyakati 7:14-15) Dhambi ndani ya kanisa Uzinzi na uasherati , Watumishi kutumbia nguvu za giza kwa kazi ya Mungu Mafarakano katika ndoa na kuacha kusudi la mungu la kuwaleta watu kwa yesu. Kuigeuza kazi ya mungu ni biashara Tazama mkono wa Bwana haukupungua hata usiweze kuokoa ,wala sikio lake si zito ahata lisiweze kusikia lakini maovu yenu yamewafarakanisha ninyi na Mungu wenu.Isaya 59:1-2Haya njoni tusemezane asema Bwana ,Dhambi zenu zijapokua nyekundu sana ,zitakua nyeupe kama theluji zijapokuwa nyekundu kama bendelea zitakua kama sufu. Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi;bali kama mkikataa kuasi mtaangamizwa kwa upanga maana kinywa cha BWANA kimenena haya .Isaya 1;18-19 Toba kwa ajili na familia na wana ndoa Neno la msingi;Maana mimi nachukia kuachana asema BWANA Mungu wa Israel (malaki 2:16 a) kw a hiyo jihadhalini roho zenu mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana malaki 2:15c Dhambi ndani ya familia ugomvi na mafarakano katika ndoa kutengana kwa wanandoa na kuvunjika kwa ndoa Wazazi kuwakataa na kuwatelekeza watoto hivyo kuwa na idadi kubwa ya watoto wa mtaani /wanaoishi katika mazigira magumu Watoto kuwadharau wakubwa na kukataa kuelekezwa. Chuki na visasi kwenye familia wazizi kuwatoa kafara wazazi na wazizi kuwatoa kafara watoto pia wanandugu kwa ajili ya mali. Toba ya Bunge na viongozi wakitaifa :Isaya 59:1-2,Isaya 59 :15-16 NenoLa msingi:Naam kweli imepungua kabisana ye auachae uovu ajifanya kuwa mateka naye BWANA akaona hayo akachukizwa kwa kuwa hapana kukumu ya haki .Akaona hapana mtu akastaajabu kwa sababu hapana muuombezi basi mkono wake mwenyewe ndio uliomletea wokovu ;na haki yake ndiyo iliyomsaidia isaya 59:15-16 Imeandaliwa na kamati ya maandalizi Maombi ya toba ya Taifa P.O Box 3204 Dodoma Tanzania Simu +255 755-599648 +255 689-599648 emlifewaychurch483@gmail.com www.lifewayministries.tz.8m.net Dhambi ya Bunge na viongozi : Haki haitendeki kwa wananchi kupitia vyombo vya dola (mahakama na polisi) na huduma za jamii km hospital. Viongozi kutumia nguvu za giza kupata madaraka, na katika ueneshaji wa kazi za serikali Kutoa kafara za binadamu(alubinona ibada za sanamu) Toba ya Taifa la Tanzania Neon la kusimamaia la toba : ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu watajinyenyekeza na kuomba na kuutafuta uso na kuziacha njia zao mbaya.basi nitasikika toka mbinguni na kuwasamehe dhambi yao na kuiponya nchi yao.22.nyakati 77: 14-41-55 Dhambi ya watu wa Tanzania Mauaji ya vikongwe ,albino na wahalifu, Utoaji wa mamba hasa wanafunzi wa vyuo na shure za secondary Dhambi ya ukahaba na uzinzi Mauaji kwa kutumia nguvu za giza ili kupata ajira/umaarufu MAOMBI YA TOBA YA KITAIFA TANZANIA Neno la msingi:Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu watajinyenyekeza na kuomba na kuutafuta uso wangu na kuziacha njia zao mbaya basi nitasikia toka mbinguni na kuwasamehe dhmbi yao na kuiponya nchi yao.2 (Nyakati 7:14-15) |
||||
VITA VYA KAGERA KATI YA TANZANIA NA UGANDA https://www.youtube.com/watch?v=QdqpLdhD7Ac |
||||
Description of Product Detailed description of a product. This description could include: Basic information about the line of products and any information that you might use to describe your product. $ 19.95 |
||||
APOSTOLIC =LIFEWAY HARVEST MISSION Bishop Eliah Mauza has the Founder ofNation Repentence Prayer in Tanzania this is one of the prayer his praying for our Nation for peace on 13-21 June 2010 in the House of Prayer for all Nations in Dodoma Tanzania |
||||
NATION PRAYER the Day of prayer to pray for peace in Tanzania , this is the chid choir in our church here in Dodoma shis joined with the people in Dodoma to sing and praying for the peace in TANZANIA |
||||
Description of Product |
||||
![]() |
Description of Product Detailed description of a product. This description could include: Basic information about the line of products and any information that you might use to describe your product. $ 19.95 |
|||
Description of Product Detailed description of a product. This description could include: Basic information about the line of products and any information that you might use to describe your product. $ 19.95 |
![]() |
|||
|
Description of Product Detailed description of a product. This description could include: Basic information about the line of products and any information that you might use to describe your product. $ 19.95 |
|||
Description of Product |
![]() |